Chagua Lugha Uipendayo

KITAIFA

DUNIA KUSHUHUDIA HOTUBA NZITO YA LOWASSA LEO

FRIDAY, OCTOBER 23 2015, 0 : 

MGOMBEA urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, leo atalihutubia Taifa kupitia vituo mbalimbali vya televisheni, redio na mitandao ya kijamii.

Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa CHADEMA, Tumaini Makene, alisema kupitia hotuba hiyo, Lowassa atazungumzia Tanzania mpya ambayo itatokana na mabadiliko makubwa ya kimfumo, kiutawala na utendaji wa Serikali atakayoiunda baada ya Watanzania kumpatia dhamana ya kuwa Mkuu wa Nchi, Amiri Jeshi Mkuu na Kiongozi Mkuu wa Serikali Oktoba 25, mwaka huu.

"Huu ni Uchaguzi Mkuu wa mabadiliko ya kuhitimisha utawala wa nusu karne wa CCM ili kuliandaa Taifa na uongozi mpya ambao utatoa wa kuliondoa Taifa katika umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi ambao unawatafuna Watanzania.

"Hii ni dalili ya wazi kwamba Serikali atakayoiunda itatokana na watu kwa ajili ya watu ambao ni umma wa Watanzania wote," alisema. 

John Magufuli: Mchapakazi anaeutaka urais






Waziri wa ujenzi wa Tanzania John Pombe Magufuli anaendesha kampeni kuomba ridhaa ya wananchi kuiongoza nchi hiyo kupitia chama tawala - chama cha mapinduzi CCM. Lakini Magufuli ni nani hasa?SEE MORE



NCCR-Mageuzi Vunjo parliamentary candidate James Mbatia has pledged to help banana growers and traders to enter East African Community (EAC) member countries’ markets. He said here that in his first 100 days in office, he would supervise enlargement of their business to help them reap benefits in EAC                                                              member states.                                READ MORE

Nyika - Vudee


 KILIO CHA MDA MREFU KWA WAKAZI WA VIJIJI NA VITONGOJI MBALIMBALI WILAYANI SAME MKOANI KILIMANJARO.

Majevu - Same

HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YATAKIWA KUWEKA MTAZAMO KWENYE MIUNDO MBINU HASA ILIYOPO KATIKA MAENEO YAELEKEAYO KATIKA HUDUMA ZA JAMII.Read More